Shirika la Habari la Hawza, linachapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu cha Bihar al-Anwar.
Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) amesema baada ya kuulizwa:
«سُئِلَ رَسُولُ اللهِ صَلَّی اللهُ عَلَیْهِ وَآلِهِ: أَیُّ الصَّدَقَةِ أَفْضَلُ؟ فَقَالَ: عَلَی ذِی الرَّحِمِ الْکَاشِحِ.»
Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) aliulizwa: “Ni swadaka ipi iliyo bora zaidi?” Akajibu: “Ni swadaka anayopewa ndugu wa karibu ambaye ana kinyongo na chuki dhidi ya mtu.”
Chanzo: Bihar al-Anwar, Juzuu ya 93, ukurasa wa 179.
Maoni yako